Total Pageviews

Sunday, March 22, 2015

WHAT DO YOU THINK ABOUT IT?

Being computer expert is something amazing. That make me toil so hard to be a good technician despite that I am. Welcome to this technology.


Thursday, March 19, 2015

CHEETAH ANAVYOWAONEA WAN YAMA WENGI PORINI.

Tembelea mbuga za wanyama Tanzania utapata kuona wanyama mbali mbali wa kila aina. Na pia fika katika chuo cha Tropical Centre Institute kilichopo Arusha ambapo kuna walimu waliobobea katika swala nzima la wanyama pamoja na ndege wa Kila aina. Kwenye video hii chini utaweza kuona jinsi Mnyama Duma ana uwezo wa kukimbia umbali wa kilometa 120 kwa saa, na kumshika mnyama kama inavyoonekana hapo chini. Welcome in Tanzania and also welcome at Tropical Centre Institute Arusha (TCI).

TUTORS AT TROPICAL CENTRE INSTITUTE SPEAKING FOREIGN LANGAGE